Ufafanuzi wa karameli katika Kiswahili

karameli

nomino

  • 1

    sukari iliyounguzwa.

    gubiti

Asili

Kng

Matamshi

karameli

/karamɛli/