Ufafanuzi wa karandinga katika Kiswahili

karandinga

nominoPlural makarandinga

  • 1

    gari maalumu la polisi la kuchukulia watuhumiwa.

Matamshi

karandinga

/karandinga/