Ufafanuzi wa karata katika Kiswahili

karata

nominoPlural karata

  • 1

    kadi yenye alama na tarakimu fulani inayotumiwa kuchezea, agh. huwa katika seti ya kadi 52.

    ‘Gawa karata’
    ‘Cheza karata’
    ‘Piga karata’

Asili

Kre

Matamshi

karata

/karata/