Ufafanuzi wa karate katika Kiswahili

karate

nominoPlural karate

  • 1

    mchezo wa kupigana wa Kijapani ambapo mpiganaji hutumia mikono na miguu yake kama silaha.

    ‘Sikuwa na silaha yoyote isipokuwa uwezo wangu katika karate’

Asili

Kng

Matamshi

karate

/karatɛ/