Ufafanuzi wa karibu! katika Kiswahili

karibu!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumiwa kumwitikia mtu aliyebisha hodi au wakati wa kukaribisha mtu.

    kongoni

  • 2

    neno linalotumiwa kumuaga mtu anayeondoka.

    ‘Karibu tena’

Asili

Kar

Matamshi

karibu!

/karibu/