Ufafanuzi wa karidhi katika Kiswahili

karidhi

kitenzi elekezi

  • 1

    kopesha fedha bila ya kutegemea faida, agh. kwa ajili ya biashara.

  • 2

    saidia mtu wa biashara kwa kumkopesha fedha au mali.

Asili

Kar

Matamshi

karidhi

/kariDi/