Ufafanuzi msingi wa karii katika Kiswahili

: karii1karii2

karii1

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    msomaji wa Kurani, hasa kwa tajuwidi.

Asili

Kar

Matamshi

karii

/kari:/

Ufafanuzi msingi wa karii katika Kiswahili

: karii1karii2

karii2

nomino

  • 1

    msomaji wa vitabu anayesahihisha makosa na kutoa maoni yake.

    mhakiki

Asili

Kar

Matamshi

karii

/kari:/