Ufafanuzi wa karisi katika Kiswahili

karisi

nominoPlural karisi

  • 1

    hali ya kuoza jino au mfupa.

Asili

Kng

Matamshi

karisi

/karisi/