Ufafanuzi wa karoti katika Kiswahili

karoti

nominoPlural karoti

  • 1

    mmea wenye mzizi wa rangi ya manjanomanjano na umbo kama pia, ambao hutumika kama mboga, kiungo cha kachumbari, achari, masala, mchuzi au kuliwa mbichi.

Asili

Kng

Matamshi

karoti

/karOti/