Ufafanuzi wa kasha katika Kiswahili

kasha

nominoPlural makasha

  • 1

    sanduku kubwa gumu linalotumiwa kuwekea mali.

    bweta, boksi, ndusi

Asili

Kre

Matamshi

kasha

/kaʃa/