Ufafanuzi wa kasheshe katika Kiswahili

kasheshe

nominoPlural kasheshe

  • 1

    hali ya kutoelewana inayotokana na watu kutokubaliana jambo fulani.

Matamshi

kasheshe

/ka∫ɛ∫ɛ/