Ufafanuzi wa kashfa katika Kiswahili

kashfa, kashifa

nomino

  • 1

    ufunuaji au udhihirisho wa siri ya jambo la aibu.

    junaa, sakata

Asili

Kar