Ufafanuzi msingi wa kasiki katika Kiswahili

: kasiki1kasiki2

kasiki1

nominoPlural kasiki, Plural makasiki

Kidini
 • 1

  Kidini
  vazi kama joho lenye mikono mirefu linalovaliwa na mchungaji wa Ukristo.

Asili

Kar

Matamshi

kasiki

/kasiki/

Ufafanuzi msingi wa kasiki katika Kiswahili

: kasiki1kasiki2

kasiki2

nominoPlural kasiki, Plural makasiki

 • 1

  mtungi mkubwa wa udongo wa kauri wa kuhifadhia maji, samli, n.k..

 • 2

  mtungi uliotengenezwa kwa ngozi.

Asili

Kre

Matamshi

kasiki

/kasiki/