Ufafanuzi msingi wa kasimu katika Kiswahili

: kasimu1kasimu2

kasimu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kata katikati; fanya sehemu sawasawa.

    gawa

Asili

Kar

Matamshi

kasimu

/kasimu/

Ufafanuzi msingi wa kasimu katika Kiswahili

: kasimu1kasimu2

kasimu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    -pa mtu madaraka ya kufanya jambo kwa niaba ya mtu mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

kasimu

/kasimu/