Ufafanuzi wa kasirisha katika Kiswahili

kasirisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia mtu uchungu.

    udhi, ghadhibisha, chochea, chafua, chefua, furisha, chukiza, nonga, chokoza

Matamshi

kasirisha

/kasiri∫a/