Ufafanuzi msingi wa kasoro katika Kiswahili

: kasoro1kasoro2kasoro3

kasoro1

nomino

Matamshi

kasoro

/kasOrO/

Ufafanuzi msingi wa kasoro katika Kiswahili

: kasoro1kasoro2kasoro3

kasoro2

kivumishi

  • 1

    -enye dosari; -enye upungufu.

Asili

Kar

Matamshi

kasoro

/kasOrO/

Ufafanuzi msingi wa kasoro katika Kiswahili

: kasoro1kasoro2kasoro3

kasoro3

kielezi

  • 1

    ‘Wote wamepata zawadi kasoro Toni’
    isipokuwa
    and → ila

Asili

Kar

Matamshi

kasoro

/kasOrO/