Ufafanuzi wa kasorobo katika Kiswahili

kasorobo

kivumishi

  • 1

    pungufu kwa kiasi cha robo.

Asili

Kar

Matamshi

kasorobo

/kasɔrɔbɔ/