Ufafanuzi wa kaswende katika Kiswahili

kaswende

nominoPlural kaswende

  • 1

    ugonjwa unaoshika uke au uume na huambukizika kwa njia ya kujamiiana.

    farangi, sekeneko, pangusa

Matamshi

kaswende

/kaswɛndɛ/