Ufafanuzi wa katani katika Kiswahili

katani

nomino

  • 1

    nyuzi zinazotokana na majani ya mkonge.

  • 2

    mkonge

Matamshi

katani

/katani/