Ufafanuzi wa katapila katika Kiswahili

katapila

nominoPlural makatapila

  • 1

    aina ya trekta kubwa, linalotumiwa agh. katika ujenzi wa barabara, utekuaji miti au uchimbaji.

Asili

Kng

Matamshi

katapila

/katapila/