Ufafanuzi wa kategoria katika Kiswahili

kategoria

nominoPlural kategoria

  • 1

    jumla ya vitu vya aina fulani vinavyoweza kuwekwa pamoja kwa mujibu wa sifa zinazofanana.

    ‘Maneno huweza kupangwa katika kategoria mbalimbali k.v. nomino, vitenzi, n.k.’

Asili

Kng

Matamshi

kategoria

/katɛgOrija/