Ufafanuzi wa kati katika Kiswahili

kati

kielezi

  • 1

    nafasi isiyo upande huu au ule.

    baina

  • 2

    miongoni mwa.

    ‘Chagua mmoja au wawili kati yetu’

Matamshi

kati

/kati/