Ufafanuzi wa katikati katika Kiswahili

katikati

nominoPlural katikati

  • 1

    mahali palipogawanywa sehemu mbili sawasawa baina ya vitu.

  • 2

    mahali palipo baina ya vitu viwili.

    ‘Posta iko katikati ya benki na hoteli’
    ‘Alilikata chungwa katikati akawapa’

Matamshi

katikati

/katikati/