Ufafanuzi msingi wa kaukau katika Kiswahili

: kaukau1kaukau2

kaukau1

kivumishi

  • 1

    (katika chakula) -a kuvunjika kwa urahisi.

    -gumu, kavu

Matamshi

kaukau

/kawukawu/

Ufafanuzi msingi wa kaukau katika Kiswahili

: kaukau1kaukau2

kaukau2

nominoPlural kaukau

  • 1

    chakula kilichotengenezwa kwa k.v. viazi vilivyokatwakatwa vyembamba na kuchomwa katika mafuta hadi vikakauka kabisa.

Matamshi

kaukau

/kawukawu/