Ufafanuzi wa kaukia katika Kiswahili

kaukia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    isha maji katika chakula au chombo kutokana na joto jingi.

    ‘Chai imekaukia motoni’

Matamshi

kaukia

/kawukija/