Ufafanuzi msingi wa kauzu katika Kiswahili

: kauzu1kauzu2

kauzu1

nominoPlural kauzu

  • 1

    dagaa wakavu wa maji baridi.

Matamshi

kauzu

/kawuzu/

Ufafanuzi msingi wa kauzu katika Kiswahili

: kauzu1kauzu2

kauzu2

nominoPlural kauzu

  • 1

    mtu asiye na haya.

Matamshi

kauzu

/kawuzu/