Ufafanuzi wa kayamba katika Kiswahili

kayamba

nominoPlural makayamba

  • 1

    tuwazi ambayo hutengenezwa kwa matete na ndani likatiwa punje kavu au changarawe na kutikiswa linapopigwa wakati wa ngoma au wa kuimba.

Matamshi

kayamba

/kajamba/