Ufafanuzi wa kayekaye katika Kiswahili

kayekaye

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba zitokeazo mbele ya tanga mpaka kwenye foromali.

Matamshi

kayekaye

/kajɛkajɛ/