Ufafanuzi msingi wa kazana katika Kiswahili

: kazana1kazana2

kazana1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fanya bidii.

    ‘Kijana amekazana’
    jitahidi, hoka

Matamshi

kazana

/kazana/

Ufafanuzi msingi wa kazana katika Kiswahili

: kazana1kazana2

kazana2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

Matamshi

kazana

/kazana/