Ufafanuzi wa kebo katika Kiswahili

kebo

nominoPlural kebo

  • 1

    nyaya zilizofunikwa kwa mpira au plastiki ambazo agh. huwa nene na nzito na hutumiwa kupitishia umeme, simu, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

kebo

/kɛbɔ/