Ufafanuzi wa keche! katika Kiswahili

keche!

kiingizi

  • 1

    neno la kuelezea mvunjiko wa kitu.

    ‘Kuvunjika keche’

Matamshi

keche!

/kɛt∫ɛ/