Ufafanuzi wa kekevu katika Kiswahili

kekevu

nominoPlural kekevu

  • 1

    kwikwi inayosababishwa na kiungulia.

    chechevu, kwikwi

Matamshi

kekevu

/kɛkɛvu/