Ufafanuzi wa kenga katika Kiswahili

kenga

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya mtu aamini jambo lisilo la kweli; fanyia mtu hila.

    danganya, laghai

Matamshi

kenga

/kɛnga/