Ufafanuzi wa kengele katika Kiswahili

kengele

nominoPlural kengele

 • 1

  kitu kilichotengenezwa kwa madini kinachotoa sauti kinapogongwa au kutikiswa.

  ‘Piga kengele’

 • 2

  kitu kitoacho sauti wakati kinapopigwa au kubonyezwa kama ishara fulani k.v. ya kubisha mlango au kumtahadharisha mtu.

  ‘Kengele ya baiskeli’
  ‘Kengele ya mlangoni’

Matamshi

kengele

/kɛngɛlɛ/