Ufafanuzi wa kengemeka katika Kiswahili

kengemeka

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    toa mtu makosa.

    aili, laumu, shutumu, atibu

Matamshi

kengemeka

/kɛngɛmɛka/