Ufafanuzi wa kengeua katika Kiswahili

kengeua

transitive verb

  • 1

    fanya mtu kufuata njia au tabia mbaya; poteza njia.

    potoa

Matamshi

kengeua

/kengɛwuwa/