Ufafanuzi wa kenuakenua katika Kiswahili

kenuakenua

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa katika hali ya kucheka.

    chekacheka

Matamshi

kenuakenua

/kɛnuwakɛnuwa/