Ufafanuzi wa kera katika Kiswahili

kera

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya jambo la kuleta karaha na uchukivu kwa mtu.

    sumbua, chefua, ghasi

Matamshi

kera

/kɛra/