Ufafanuzi wa kereka katika Kiswahili

kereka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    chukizwa na jambo fulani.

    ‘Wazee wakaanza kukereka na kuuliza,‘Kapanga nani mambo haya?’

  • 2

    ’.

Matamshi

kereka

/kɛrɛka/