Ufafanuzi wa kero katika Kiswahili

kero

nominoPlural kero

  • 1

    hali ya maudhi.

    karaha, adha, dhiki, usumbufu, chagizo, tashtiti, rangaito, makuruhu, mikwala

Matamshi

kero

/kɛrO/