Ufafanuzi wa kesha katika Kiswahili

kesha

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~eza

  • 1

    kaa macho usiku kucha bila ya kulala kwa shughuli maalumu.

    angaza

Matamshi

kesha

/kɛʃ7/