Ufafanuzi wa keshi katika Kiswahili

keshi

nomino

  • 1

    fedha taslimu zilizo mkononi.

Asili

Kng

Matamshi

keshi

/kɛʃi/