Ufafanuzi wa keto katika Kiswahili

keto

kivumishi

  • 1

    -enye urefu wa kwenda chini; -enye kilindi; -enye kina.

Matamshi

keto

/kɛtO/