Ufafanuzi wa keua katika Kiswahili

keua

kitenzi elekezi

  • 1

    nyosha mti wa kujengea uliopindika kwa kuukata kidogo na kuubenua.

  • 2

    tia mafuta ili kunyosha.

Matamshi

keua

/kɛwuwa//kɛuwa/