Ufafanuzi wa kiaka katika Kiswahili

kiaka

nominoPlural viaka

  • 1

    kipande cha mti kinachozuia paa la nyumba ambacho husimamishwa juu ya boriti za nyumba.

Matamshi

kiaka

/kijaka/