Ufafanuzi wa kiambajengo katika Kiswahili

kiambajengo

nominoPlural viambajengo

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kipashio ambacho hushirikiana na vipashio vingine katika kuunda kipashio kikubwa zaidi kwenye sentensi.

Matamshi

kiambajengo

/kijambaʄɛngɔ/