Ufafanuzi wa kiambo katika Kiswahili

kiambo

nominoPlural viambo

  • 1

    mahali wanapoishi watu.

    kijiji

Matamshi

kiambo

/kijambɔ/