Ufafanuzi msingi wa kiamo katika Kiswahili

: kiamo1kiamo2

kiamo1

nominoPlural kiamo, Plural viamo

  • 1

    maziwa ya kwanza ya mzazi au mnyama baada ya kuzaa.

    tamari, dang’a

Matamshi

kiamo

/kijamɔ/

Ufafanuzi msingi wa kiamo katika Kiswahili

: kiamo1kiamo2

kiamo2

nominoPlural kiamo, Plural viamo

  • 1

    kifaa cha kukamia maziwa.

    maziwa

Matamshi

kiamo

/kijamɔ/