Ufafanuzi wa kiangazi katika Kiswahili

kiangazi

nominoPlural kiangazi

  • 1

    majira ya mwaka wakati jua linapokuwa kali baina ya vuli na masika.

Matamshi

kiangazi

/kijangazi/