Ufafanuzi wa kiangulio katika Kiswahili

kiangulio

nominoPlural viangulio

  • 1

    mtambo maalumu wa kuangulia mayai.

    kitotoa

Matamshi

kiangulio

/kijangulijɔ/